Sasa mfumo mzuri wa uchezaji utapatikana vipi bila Mwalimu?!!Hiyo si sababu bana.
Mwambusi si yupo?Sasa mfumo mzuri wa uchezaji utapatikana vipi bila Mwalimu?!!
Mwambusi mmemuweka kua kocha msaidizi wa kudumu. Mwenyewe anatambua kabisaa kua hamumuamini awe head coach ndio maana yupoyupo tuMwambusi si yupo?
Usisingizie uzee wewe ulichokiona ndio uhalisia wa timu yenu, wazee wa Pira Kande.[emoji16]Ila jana kule Chamazi sijaona soka la kueleweka jamani au ni macho yangu ya kizee yalinidanganya?
Dogo umefanya nimecheka. LOL. 😂😂😂😂Usisingizie uzee wewe ulichokiona ndio uhalisia wa timu yenu, wazee wa Pira Kande.[emoji16]
Sisi wazee huwa tuna changamoto zetu atii. Mojawapo ni kudanganywa na macho. 😀Usisingizie uzee wewe ulichokiona ndio uhalisia wa timu yenu, wazee wa Pira Kande.[emoji16]
Huo ndio ushabiki wa kweli dada hiwezi kusema imenyooka wakati imepindaIla jana kule Chamazi sijaona soka la kueleweka jamani au ni macho yangu ya kizee yalinidanganya?
Yaani jana tulipuyanga pale Chamazi huu ndio ukweli kwa upande wangu kwani sikuona soka la mana Mkuu.Huo ndio ushabiki wa kweli dada hiwezi kusema imenyooka wakati imepinda
Cheka saaaana lakini kumbuka kilio kimekaribia (7 November)Dogo umefanya nimecheka. LOL. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msema kweli mpenzi wa MunguYaani jana tulipuyanga pale Chamazi huu ndio ukweli kwa upande wangu kwani sikuona soka la mana Mkuu.
Nadhani hata Uongozi uliona vile namna tumecheza japo pia Mwadui nayo si haba Mkuu.
Hamna kitu ka hicho mkiambulia sana suluhu.Cheka saaaana lakini kumbuka kilio kimekaribia (7 November)
Hakika Mbabu. 😉😉😉Msema kweli mpenzi wa Mungu
Daima mbele nyuma mwiko
Hahaa sawa suala la kocha vipi huko jangwani?Sisi wazee huwa tuna changamoto zetu atii. Mojawapo ni kudanganywa na macho. [emoji3]
Kupata kimbwanga kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 99623. AhsanteHamna kitu ka hicho mkiambulia sana suluhu.
Niliona sura za injinia na bosi zinatia huruma, hata hawaamini kabsa kama hii ndio yanga![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani jana tulipuyanga pale Chamazi huu ndio ukweli kwa upande wangu kwani sikuona soka la mana Mkuu.
Nadhani hata Uongozi uliona vile namna tumecheza japo pia Mwadui nayo si haba Mkuu.