Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 129
Kwani haujui kuwa yanga ni tasisi ya chama cha mapinduzi,
naipenda yanga but ninapokumbuka ilikuwa tasisi ya ccm najihisi kuichukia!
...kwa kwaida waislamu huwa wana tabia ya kuombea marehemu na hizi club iwe Yanga au simba wanao utaratibu huo...
katika uchaguzi wa yanga wagombea wakristo walikuwpo..na hata aliyeshinda nafasi ya makamu mwenyekiti ni mkristo anaitwa Frank Sanga...sawa mtoa mada@TELO..pia kulikuwa na mtu anaitwa Yono Steven Kavela...alikuwepo mwamli Joseph Chibura...sasa cjui ulikua unamaanisha nini ulipoleta mada hii@TELO...na wengine
Kuhusu zile Tiketi ilikua mechi kati ya Simba na Yanga..kumbuka mechi yanga ilikua mwenyeji na ilikua ndio mechi ya kwanza kuchezwa uwanja mpya wa Taifa katika Kuzidhiti Mapato hasa Tiketi feki waliamua kuweka muhuri wenye maandishi ya Kiislamu Mpeni sifa Yesu...
Hapa duniani kuna maandishi ya kiisilamu? Au kiarabu ndio kiisilamu?.... Tiketi feki waliamua kuweka muhuri wenye maandishi ya Kiislamu Mpeni sifa Yesu...
Mkuu sielewi Yanga ndio nini???
ile penalt ya kiiza kama pirlo vileeeeeeeeeeeeee
ccm ndo yanga make ilianza yanga mwaka1936 ikaja ccm 1977,. Acha kupotosha umma
..hahahahahaha...ndio umekuja kusahihisha?...haya tupe maoni yako juu ya mada..kama huwezi baki jikoni upike wanaume tuko sebuleni tuna maongezi...Hapa duniani kuna maandishi ya kiisilamu? Au kiarabu ndio kiisilamu?
ngoja tuwacheki hawa jamaa kkama leo watachomoka kwa azam, maana wana mdomo sanaIle penalt ya Kiiza ni noumarr