Hivi mkuu samahani wewe huwa ni mwanamke?Sven
#Cameroon Assistant manager
#Zambia Manager
Niletee CV ya huyo kocha wako uchwara umliyemuokota vichakani.
HahahahaHivi mkuu samahani wewe huwa ni mwanamke?
Naona una mihemko sana kwenye mambo madogo
Kama huna hoja ni bora usini QUOTE Mkuu, Nakuomba sana najua hoja ya kuni QUOTE huna.Hivi mkuu samahani wewe huwa ni mwanamke?
Naona una mihemko sana kwenye mambo madogo
Kawaida tu mkuu ndio maana nikatanguliza samahani,Nothing personal[emoji120]Kama huna hoja ni bora usini QUOTE Mkuu, Nakuomba sana najua hoja ya kuni QUOTE huna.
Bado sijaona jibu la swali uliloulizwa, sijui watanzania tukoje? Swali simple tu Hilo hakuna haja ya kupanic mkuu, maana kuwa Me au Ke siyo sababu ya kubeza hoja zako.Kama huna hoja ni bora usini QUOTE Mkuu, Nakuomba sana najua hoja ya kuni QUOTE huna.
Atakuwa aliandika ya moyoni kwamba KIUKWELI TUMEINGIWA NA KIWEWE ila baada ya kufikiri wenzake watamuonaje akaamua kufuta. Mana hawa wakishaambiwa kitu na Manara utapiga uue bure ukweli hawatosema ng'oo![emoji16]Penison usiwe unafuta futa basi. [emoji41]. Mana quote naiona ila haifunguki.
"[emoji848]Sijui uliandika nini Yarabi.[emoji848]
😀😀😀Atakuwa aliandika ya moyoni kwamba KIUKWELI TUMEINGIWA NA KIWEWE ila baada ya kufikiri wenzake watamuonaje akaamua kufuta. Mana hawa wakishaambiwa kitu na Manara utapiga uue bure ukweli hawatosema ng'oo![emoji16]
Ushaanza Mtani. Hapo jiandae tu kisaikolojia kwani kocha Kaze anaendelea pale alipoishia mwenzake.Kila lakheri timu yangu ya utotoni Polisi Tanzania kwenye mchezo unaofuata wa ligi kuu dhidi ya Mbute Mbute.
Polisi nguvu moja Shadeeya
Kupata Kitimbwi kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 99860. AhsanteUshaanza Mtani. Hapo jiandae tu kisaikolojia kwani kocha Kaze anaendelea pale alipoishia mwenzake.
#Kilamtuashindemechizake.