Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu Mugalu hawezi chezea Star? si hajawah chezea timu ya taifa kwao kabisa?

ukiangalia wachezaj wa nje ambao hawana namba timu za taifa.. alafu ukaangalia upuuzi tulio nao kwenye timu ya taifa.. aisee
 
Mazoezi yaliendelea kwa Timu ya Wananchi jana jioni chini ya Kocha KAZE maandalizi ya mechi ya Alhamis dhidi ya Polisi Tanzania.
20201018_062428.jpg
 
Penison usiwe unafuta futa basi. [emoji41]. Mana quote naiona ila haifunguki.

"[emoji848]Sijui uliandika nini Yarabi.[emoji848]
Atakuwa aliandika ya moyoni kwamba KIUKWELI TUMEINGIWA NA KIWEWE ila baada ya kufikiri wenzake watamuonaje akaamua kufuta. Mana hawa wakishaambiwa kitu na Manara utapiga uue bure ukweli hawatosema ng'oo![emoji16]
 
😀😀😀
 
Back
Top Bottom