Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201019_172000.jpg
 
Ushaanza Mtani. Hapo jiandae tu kisaikolojia kwani kocha Kaze anaendelea pale alipoishia mwenzake.

#Kilamtuashindemechiz
Unakumbuka mechi na Mtibwa kile kimbwanga nini kiligeuka. 😂😂
😀😀 siku hazifanani wewe, Polisi lazima wakusweke selo hiyo Alhamisi.
Polisi nguvu moja 💪
 
Maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wetu wa kesho dhidi ya Polisi Tanzania. Tujitokeze kwa wingi kuipa sapoti timu yetu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.

@Yangasc.

20201021_200046.jpg
 
Back
Top Bottom