Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201022_152340.jpg
 
Bado bila bila

ila , hii timu .. upepo gani huu wachezaj 6 kikos cha kwanza wote wanapata shida kwa wakati mmoja, kapombe kaongeza idadi sasa ni saba

Vpi huko taifa? mmewatia kabari au tia maji tia maji?
Bado ngoma ngumu mkuu
 
Bado bila bila

ila , hii timu .. upepo gani huu wachezaj 6 kikos cha kwanza wote wanapata shida kwa wakati mmoja, kapombe kaongeza idadi sasa ni saba

Vpi huko taifa? mmewatia kabari au tia maji tia maji?
Tumewadhibiti sana tu ila nafasi za kufunga mabao ndio zimekuwa haba.
 
Nyie wa kikosi cha kucheza Bara na Pwani leo hii mnalalama? 🙄🙄 Lol
Prison kwetu sisi ni mlima, sio timu nyingine.. miaka minne tumewafunga magoli matatu tu

Inatulazimu tuende na kila aina ya silaha kwa hawa viumbe
 
Ifike mda viongozi na wachezaji wajue tunapoteza mda pamoja na pesa kuja uwanjan! wachezaji sijui wanafundishwa nini mazoezin, hii yanga kwa jinsi inavyocheza kidhaifu hivi ipo siku tutaabika yan
 
Back
Top Bottom