Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Unakumbuka mechi na Mtibwa kile kimbwanga nini kiligeuka. 😂😂Kupata Kitimbwi kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 99860. Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka mechi na Mtibwa kile kimbwanga nini kiligeuka. 😂😂Kupata Kitimbwi kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 99860. Ahsante
Ushaanza Mtani. Hapo jiandae tu kisaikolojia kwani kocha Kaze anaendelea pale alipoishia mwenzake.
#Kilamtuashindemechiz
😀😀 siku hazifanani wewe, Polisi lazima wakusweke selo hiyo Alhamisi.Unakumbuka mechi na Mtibwa kile kimbwanga nini kiligeuka. 😂😂
Nikwambie tu Alhamis si mbali.😀😀 siku hazifanani wewe, Polisi lazima wakusweke selo hiyo Alhamisi.
Polisi nguvu moja 💪
HahahahaKwa mpira unao pigwa mazoezini, kama naiona Barcelona ndani ya Tanzania. Kimsingi ni shidaaa
Ha ha ha mkuu umebahatika kuona kidogo?Kwa mpira unao pigwa mazoezini, kama naiona Barcelona ndani ya Tanzania. Kimsingi ni shidaaa