Mara moja tu ukinogewa sana kibinaadamu unagusa ya pili unatemana nayo!
Ewaaa!!Mara moja tu ukinogewa sana kibinaadamu unagusa ya pili unatemana nayo!
Haswaaa!!Ewaaa!!
Yaani hapa najikuta naitamani tu saa 10 bro tuone Kaze anaiwekaje Weekend yetu. [emoji3]
Mara moja tu ukinogewa sana kibinaadamu unagusa ya pili unatemana nayo!
Ewaaa!!
Yaani hapa najikuta naitamani tu saa 10 bro tuone Kaze anaiwekaje Weekend yetu. [emoji3]
Hahahaha, kweli watani mnaipenda timu yenuHaswaaa!!
Ha ha ha ha acha tu ndugu!
Kafanyaje!? Nani na nani wanagombana?senzo ameanza kuwagombanisha watu huko kuweni makini na huyo mzulu.
Kafanyaje!? Nani na nani wanagombana?
Acha kabisa Mtani.
Moja moja kama chepe lakufukia kaburiMIDA YA GUSA ACHIA INAKARIBIA. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika. No maskhara. ππMoja moja kama chepe lakufukia kaburi