DuuKamletea majungu kocha wa viungo wa yanga ametimuliwa kazi
Poleni sana.Prison kwetu sisi ni mlima, sio timu nyingine.. miaka minne tumewafunga magoli matatu tu
Inatulazimu tuende na kila aina ya silaha kwa hawa viumbe
Ila sasa muachage kutamba kwamba mna wachezaji bora wakati kumbe wengine wasipokuwepo mnabaki kuanya.Prison kwetu sisi ni mlima, sio timu nyingine.. miaka minne tumewafunga magoli matatu tu
Inatulazimu tuende na kila aina ya silaha kwa hawa viumbe
Sahihi kabisa yaani hilo tu na ninaamini muda unavyozidi kwenda mwalimu ataendelea kutenda kazi yake vema!Kwa upande wa timu ya Wananchi imecheza vizuri shida iko kwenye namna ya kutengeneza nafasi za kufunga mabao.
wachezaji wanakimbiakimbia tu, kama mifugo pori, kama huyu Jafari ndiyo uozo, Niyonzima naye haeleweki, sijui tatizo niniIfike mda viongozi na wachezaji wajue tunapoteza mda pamoja na pesa kuja uwanjan! wachezaji sijui wanafundishwa nini mazoezin, hii yanga kwa jinsi inavyocheza kidhaifu hivi ipo siku tutaabika yan
Hakika!!Sahihi kabisa yaani hilo tu na ninaamini muda unavyozidi kwenda mwalimu ataendelea kutenda kazi yake vema!
Hata tukiwa full bado tunashindwa wafungaIla sasa muachage kutamba kwamba mna wachezaji bora wakati kumbe wengine wasipokuwepo mnabaki kuanya.
Timu inacheza vizuri mkuu, sema wewe umezoea mpira ule wa Yanga butubutuwachezaji wanakimbiakimbia tu, kama mifugo pori, kama huyu Jafari ndiyo uozo, Niyonzima naye haeleweki, sijui tatizo nini
Kapombe ni mzee wa pancha.Bado bila bila
ila , hii timu .. upepo gani huu wachezaj 6 kikos cha kwanza wote wanapata shida kwa wakati mmoja, kapombe kaongeza idadi sasa ni saba
Vpi huko taifa? mmewatia kabari au tia maji tia maji?
Duuh!! Mtarudisha kweli?Hata tukiwa full bado tunashindwa wafunga
washatangulia
MaaaweeeeeMikia tayari wamebakwa huko mtaa wa jirani.
Shem nasikia Sumbawanga kumenoga. 😀Kapombe ni mzee wa pancha.