Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Prison kwetu sisi ni mlima, sio timu nyingine.. miaka minne tumewafunga magoli matatu tu

Inatulazimu tuende na kila aina ya silaha kwa hawa viumbe
Ila sasa muachage kutamba kwamba mna wachezaji bora wakati kumbe wengine wasipokuwepo mnabaki kuanya.
 
Kwa upande wa timu ya Wananchi imecheza vizuri shida iko kwenye namna ya kutengeneza nafasi za kufunga mabao.
Sahihi kabisa yaani hilo tu na ninaamini muda unavyozidi kwenda mwalimu ataendelea kutenda kazi yake vema!
 
Ifike mda viongozi na wachezaji wajue tunapoteza mda pamoja na pesa kuja uwanjan! wachezaji sijui wanafundishwa nini mazoezin, hii yanga kwa jinsi inavyocheza kidhaifu hivi ipo siku tutaabika yan
wachezaji wanakimbiakimbia tu, kama mifugo pori, kama huyu Jafari ndiyo uozo, Niyonzima naye haeleweki, sijui tatizo nini
 
Bado bila bila

ila , hii timu .. upepo gani huu wachezaj 6 kikos cha kwanza wote wanapata shida kwa wakati mmoja, kapombe kaongeza idadi sasa ni saba

Vpi huko taifa? mmewatia kabari au tia maji tia maji?
Kapombe ni mzee wa pancha.
 
Back
Top Bottom