Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Afadhali manake yanga waliiponda sana simba ilivyofungwa na Azam, sasa wajiandae kumpiga tena mwamuzi
 
goli la yanga la leo limenifurahisha sana, mabeki wasiojua kazi yao uwanjani watakuwa wamejifunza, yanga nadhani watachukua ubingwa
 
washabiki na wapenzi wa Simba Sports Club
wamesusia kufturu Chapati zinazotengenezwa na
kiwanda cha Azam.
Hii inatokana na kipigo cha Gombania Daku
walichokipata hivi karibuni
 
Bora timu nyingine zijaribie bahati yao, hizi simba na yangu zimetuchosha kwa kutoleta mabadiliko ya soka na kutuongezea ukame wa ushindi Afrika.
 
kama ilivyo chadema kwenye siasa basi kwenye soka azam ndio tegemeo jipya..AZAM GOOOO:flypig:
 
Afadhali manake yanga waliiponda sana simba ilivyofungwa na Azam, sasa wajiandae kumpiga tena mwamuzi

yule sent feki wao lazima atatimuliwa tu maana ndio zao na hapo refa ni karateka man soo wakimgusa tu wanapasuka na kadi juu..
 
uzuri wa mpira huwa ni dk 90 soo kina bala is always here naombeni support yenu hapo kesho wakati na mchukua mwali for the first time na huku MG16 akipigilia msumari wa ushindi

Forza Azam FC
 
Naona mashabiki wa simba mmeamua kuanza kumfagilia mume wenu... pouwa njooni taifa J mosi muondoke vichwa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…