Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Dar Young Africans!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye Azam awa bingwa!
NINAWAOMBA YANGA MSIPIGE REFA SIKU YA FAINALI
Wewe wa Simba ukae kimya kabisa. Unafikiri kombe la urafiki hili?Afadhali manake yanga waliiponda sana simba ilivyofungwa na Azam, sasa wajiandae kumpiga tena mwamuzi
kama ilivyo chadema kwenye siasa basi kwenye soka azam ndio tegemeo jipya..AZAM GOOOO:flypig:
Hatimaye Azam awa bingwa!
Afadhali manake yanga waliiponda sana simba ilivyofungwa na Azam, sasa wajiandae kumpiga tena mwamuzi
Naona mashabiki wa simba mmeamua kuanza kumfagilia mume wenu... pouwa njooni taifa J mosi muondoke vichwa chini.