Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Aisee timu yetu imeanza kucheza vizuri na inatengeneza nafasi za kutosha tu ila finishing bado Sana tunatakiwa kuimprove hapo
 
Mie huwa najikuta hata simkubali sarpong saa ingine. Au macho yangu?
Hahahahahah nakubaliana na wewe kabisa kwenye jukumu la kufunga bado Sana aisee
Ila kwa washambuliji tulionao mi huwa naona bora akianza yeye maana huwa anajitahidi kukaa na mpira kuliko sogne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…