Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio kazi tumewaachia Mtani. 😂😂hongereni kwa kusakata kabumbu murua kabisa
Leo naona mauza uza tu sa sijui ndo Uwanja umekuwa Changamoto ama vipi?Mliokaribu na Kocha mwambieni amwingize Nionzima aitulize timu na kuongeza ubunifu......amtoe Kisinda haisaidii chochote timu
Ila kiungo chetu tumezidiwa sanaHizi fouls hizi. 🤔🤔🤔
Hakika. Na mipira haikai kabisa.Ila kiungo chetu tumezidiwa sana
Pengo la Nionzima,bila kuingia Nio ushindi tutapata tabu sanaKwann hatu press yaan tunakabia kwenye nusu yetu duuuuuh
Juzi alionyesha kitu pale Taifa sijui na leo kama ataeza onyesha.Farid Mussa anakaribia kuingia
Tatizo macho ya benchi la ufundi si ajabu hawalioni hilo.Sijajua why Kisinda anazulura tu hamtoi?
Mimi walai sijuiag makocha hua wanawaza nini , hili lipo dunia nzima, wale watu ambao wanakupa ushindi unawakuta benchi , wale walipopaswa kua benchi ndio wanaanzaMliokaribu na Kocha mwambieni amwingize Nionzima aitulize timu na kuongeza ubunifu......amtoe Kisinda haisaidii chochote timu
ila mnashinda hii mechi kwa 2-1Hii ndio kazi tumewaachia Mtani. 😂😂
Angetoka na Kisinda aingie Nionzima....Kenny Ally anaitesa kiungo chetuDkk ya 60 Anatoka Kaseke anaingia Farid Mussa.
Umemuona Farid Mkuu?Waziri Joni or yanga 2