Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mliokaribu na Kocha mwambieni amwingize Nionzima aitulize timu na kuongeza ubunifu......amtoe Kisinda haisaidii chochote timu
Mimi walai sijuiag makocha hua wanawaza nini , hili lipo dunia nzima, wale watu ambao wanakupa ushindi unawakuta benchi , wale walipopaswa kua benchi ndio wanaanza

Angala jana benchi la Man utd na wale walioanza
 
Back
Top Bottom