Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo goli la penalty alilofunga Tuisila nadhani ndo litakuwa goli bora huu msimu mpaka unamalizika.HALF TIME
KMC 1 YANGA 1
Ila hii penalt mmepewaHALF TIME STATISTICS
POSSESSION KMC 52 YANGA 48.
Tumepewaje fafanua?Ila hii penalt mmepewa
A yuu siriazi?hilo goli la penalty alilofunga Tuisila nadhani ndo litakuwa goli bora huu maimu mpaka unamalizika.
hongereni yanga.
Jamaa kajiangushaTumepewaje fafanua?
Mie huwa najikuta hata simkubali sarpong saa ingine. Au macho yangu?Aisee timu yetu imeanza kucheza vizuri na inatengeneza nafasi za kutosha tu ila finishing bado Sana tunatakiwa kuimprove hapo
mimi naona goli liko sawa tu, Huyu refa anafaa kuchukua tuzo ya refa bora wa msimu huuA yuu siriazi?
Kama nawaona mtakavyolivalia njuga. Kwani baada ya hii mechi wote mtakuwa wachambuzi wazuri.
Aah!! Mie mwenzio nimeona kasukumwa.Jamaa kajiangusha
😂😂😂😂😂 Sawa Mwalimu Kashasha.mimi naona goli liko sawa tu, Huyu refa anafaa kuchukua tuzo ya refa bora wa msimu huu
Hahahahahah nakubaliana na wewe kabisa kwenye jukumu la kufunga bado Sana aiseeMie huwa najikuta hata simkubali sarpong saa ingine. Au macho yangu?
hongereni kwa kusakata kabumbu murua kabisa😂😂😂😂😂 Sawa Mwalimu Kashasha.