Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mechi bila Nionzima inakuwa ngumu sanaTatizo macho ya benchi la ufundi si ajabu hawalioni hilo.
Umeandika hii kabla au baada ya goli? π€π€π€ila mnashinda hii mechi kwa 2-1
Kona yake imeleta goliUmemuona Farid Mkuu?
π₯ π₯ π₯ π₯Yeeeeeews
Hata juzi taifa alikuwa anapiga fouls na kona zenye macho ila ndo wamaliziaji hawakuwa na shabaha.Kona yake imeleta goli
Labda ni mtoto wa Sheikh Yay ha,ameachiwa mikobaUmeandika hii kabla au baada ya goli? π€π€π€
Mechi zote analeta impact FaridHata juzi taifa alikuwa anapiga fouls na kona zenye macho ila ndo wamaliziaji hawakuwa na shabaha.
nmeandika kablaUmeandika hii kabla au baada ya goli? π€π€π€
Kumbe upo?Mimi walai sijuiag makocha hua wanawaza nini , hili lipo dunia nzima, wale watu ambao wanakupa ushindi unawakuta benchi , wale walipopaswa kua benchi ndio wanaanza
Angala jana benchi la Man utd na wale walioanza
Ikiisha hivi ndo tunaanza kutumia kale ka msemo kenu ka msimu uliopita kwamba.nmeandika kabla
ila goli lenu la kwanza nimelipenda zaidi kuliko hili la piliIkiisha hivi ndo tunaanza kutumia kale ka msemo kenu ka msimu uliopita kwamba.
"KILA MMOJA ASHINDE MECHI ZAKE" ππππ
Potelea pwete. πππila goli lenu la kwanza nimelipenda zaidi kuliko hili la pili
au mtani hujalipenda goli la kwanza la yanga?Potelea pwete. πππ
Yote yako vizuri Mtani.au mtani hujalipenda goli la kwanza la yanga?
pengine unaweza ukawa umelipenda hili la pili, ndo hivyo mtazamo umetofautiana
naona KMC wamechachamaa kwel kwel...Naona Haruna anapasha.
Yaani hadi naona mapigo yangu yamoyo yanaenda kasi mbaya. πππnaona KMC wamechachamaa kwel kwel...