Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Bundi kwa Ulaya ni dalili ya bahati na mafanikio Shadeeya, ni suala la muda tu kabda hatujakaa kwenye nafasi yetu ya siku zote, nafasi inayotustahiki, nafasi ya kwanza
Hizi kauli zitawakost sana huu mwana na mkija shituka mpo nafasi ya tatu au ya nne huko.

Na kama kawaida tunasubiria ngumi tu mana huwa hamna uvumilivu hata chembe
 
Naombea umeme leo ukatike kipande hiyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Naombea umeme leo ukatike kipande hiyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hizi kauli zitawakost sana huu mwana na mkija shituka mpo nafasi ya tatu au ya nne huko.

Na kama kawaida tunasubiria ngumi tu mana huwa hamna uvumilivu hata chembe
Ndio kwanzaa asubuhi kumekucha. Hii ni Ligi na sio mtoano, kwanza dakika 90 hazijaisha
 
Ila bana tuwe wakweli vitimu vidogo vikishakuanza kazi huwa ipo.

Hapo labda mlazimishe tu kwa kupitia miamala la sivyo mnadoda na leo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani wee acha chu hivi vitimu vinavyokomalia timu kubwa. Masau Bwire leo dah! Sijui tutaweka wapi sura zetuπŸ™ˆπŸ™†β€β™‚οΈπŸ€ͺ
 
Ndio musiwe munaongea huku hamuijui kesho Mtani.

Booookoooooo anasawazisha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji180][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…