Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hizi kauli zitawakost sana huu mwana na mkija shituka mpo nafasi ya tatu au ya nne huko.Bundi kwa Ulaya ni dalili ya bahati na mafanikio Shadeeya, ni suala la muda tu kabda hatujakaa kwenye nafasi yetu ya siku zote, nafasi inayotustahiki, nafasi ya kwanza
Na kama kawaida tunasubiria ngumi tu mana huwa hamna uvumilivu hata chembe