Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwani jumamosi mbali basi.

Dooh!! Jipe moyo ili ikifika jumamosi uzimie vizuri.

Hiyo Azam ina maajabu gani kwani Mtani?
Hakuna yeyote unaeweza kumfunga hapo, na hata ikatokea ukapata goli huwezi kupata goli zaid ya moja,

hao wote wanaweza kuingia nyavuni kwako hata mara nne
 
Hakuna yeyote unaeweza kumfunga hapo, na hata ikatokea ukapata goli huwezi kupata goli zaid ya moja,

hao wote wanaweza kuingia nyavuni kwako hata mara nne
Ooh. Basi tusiandikie mate. Kwani Jumamosi si mbali.

Na hapo ndo utachoka zaidi.

#Bila Jannja janjja yanga hafungwi na Simba.
 
Ooh. Basi tusiandikie mate. Kwani Jumamosi si mbali.

Na hapo ndo utachoka zaidi.

#Bila Jannja janjja yanga hafungwi na Simba.
mtu aingie nyavuni mara nne useme janja janja hahaha
 
Mi mwenyewe alinichosha sababu hiyo game anayoikamia si ajabu tukaambulia point moja.

Sikuona sababu ya kuwaweka nje wachezaji wengi namna ile.
Kocha analaumiwa bure tu, waliofanya hivyo ni viongozi wa timu. Kocha ni mgeni, hawezi kujua tensheni ya usimba na uyanga. Viongozi ndio waliingilia upangaji wa kikosi B
 
Miaka minne ipi?

Tokea 2016 hadi leo 2020 ni lini na lini mmetufunga nyie ? ukiachana na ile ya Morrson??

Ukiacha ile ya malinzi ipo nyingine? mna miaka minne imepita mnachezea au mnapata suluhu
 
Tokea 2016 hadi leo 2020 ni lini na lini mmetufunga nyie ? ukiachana na ile ya Morrson??

Ukiacha ile ya malinzi ipo nyingine? mna miaka minne imepita mnachezea au mnapata suluhu
Hivi unaelewa ulichokiandika Mtani? Hivyo kile kichapo cha bao moja kwako hukihesabii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kisa Morison yuko Simba ama? πŸ€”

Wacha kujitoa ufahamu huku ukijua fika hapa tukisema mechi ya mwisho ya VPL kati ya Simba na Yanga inahesabika ni wewe ndo ulikalishwa kwa bao moja.

Hapo miaka minne haipo tena.
 
Ila nimeiandika hapo, basi tu hujataka kusoma
 
Ya Morrison kafuta![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee washabiki wa Simba bwana!! Ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…