Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kishingo alifanya mind game kusema chama hayupo kumbe yupo, ila haitasaidia kitu mkia lazma ukatwe leo
 
Kishingo alifanya mind game kusema chama hayupo kumbe yupo, ila haitasaidia kitu mkia lazma ukatwe leo
Mshamba eti kaiga makocha wa nje. Lol.

Mie mwenyewe nilishituka kusikia waandishi wanasema Chama ameonekana anafanya mazoezi asubuhi.
 
Daah!! Hatimaye ule muda umewadia.

"KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI"
 
Hahahaaaa. Hivi network mnaipataje huko mie nikifikaga Taifa na ule mvurugano huwa simu yangu haisomi internet kabisa.

Au ndo VPN? [emoji23]
utawala wa VPN hapa mumy siunajua tena bongo bahati mbaya nimekula Connected t United Kingdom.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…