Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Strong lineup💪Na kikosi chetu cha leo ndo kama hicho.
View attachment 1621416
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Itokee tu lakini ushindi kwetu kwa leo ni lazima.kweli kabisa
Nipo V. I.P B hapa nimekula full Kijani karibuItokee tu lakini ushindi kwetu kwa leo ni lazima.
DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hahahaaaa. Hivi network mnaipataje huko mie nikifikaga Taifa na ule mvurugano huwa simu yangu haisomi internet kabisa.Nipo V. I.P B hapa nimekula full Kijani karibu
Mshamba eti kaiga makocha wa nje. Lol.Kishingo alifanya mind game kusema chama hayupo kumbe yupo, ila haitasaidia kitu mkia lazma ukatwe leo
Duuh!! Watu nyomi.Kwa sas hali ipo hivi uwanjani.View attachment 1621430View attachment 1621431View attachment 1621432
Mwanzoni niliona uwanja mtupu nikajua watu wameamua kubaki home kumbe watu wamejitoa vya kutosha.Umati wa huko nje sio wa kawaida
utawala wa VPN hapa mumy siunajua tena bongo bahati mbaya nimekula Connected t United Kingdom.....Hahahaaaa. Hivi network mnaipataje huko mie nikifikaga Taifa na ule mvurugano huwa simu yangu haisomi internet kabisa.
Au ndo VPN? [emoji23]
Mi hapa home kwangu nimeipata ya France. 😂😂😂utawala wa VPN hapa mumy siunajua tena bongo bahati mbaya nimekula Connected t United Kingdom.....