Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Basi ingekua kila anapoumia mchezaji anavyotolewa nje timu zingekua zimafungwa sana kwa mda huo mchezaji anapokua njeKulikuwa na haha gani ya kumtoa mchezaji wa namungo nje.kisa kaweka bukta vibaya?. anatoka tu na yanga Wana funga goli hauoni Kama NI mbinu?
Basi ingekua kila anapoumia mchezaji anavyotolewa nje timu zingekua zimafungwa sana kwa mda huo mchezaji anapokua nje
Mmh!! Hamkosi sababu.Kulikuwa na haha gani ya kumtoa mchezaji wa namungo nje.kisa kaweka bukta vibaya?. anatoka tu na yanga Wana funga goli hauoni Kama NI mbinu?
Mmh!! Hamkosi sababu.
Kama sikuelewa vibaya nadhani hakuwa amevaa zile skintight za ndani.
Mpira unaendelea huko.
Dkk ya 44
Yanga 1 Namungo 1
Nilidhani yeye aliyetolewa alikuwa ndiyo kipa? au wachezaji wote wa Namungo Waliacha kucheza? . Simba mna matatizo nyinyi visingizio kibao.Kulikuwa na haha gani ya kumtoa mchezaji wa namungo nje.kisa kaweka bukta vibaya?. anatoka tu na yanga Wana funga goli hauoni Kama NI mbinu?
Hata na sie tumekosa nyingi tu.Usisahau na kosa kosa kibao moja imeruka juu
Hamna bwana mbona Mukoko yake kaipandisha juu kabisa?Alikuwa amekunja bukta Kama alivyo kuwa anafanya Sanchez.refa akamtoa.
Yule mchezaji anaomba kuingia ndani refa kakausha mpaka yanga wanapata goli ndo anamruhusu
Hamna bwana mbona Mukoko yake kaipandisha juu kabisa?
Nikukumbushe tu pia hao hao ndio wamefanya ukawa bingwa mara tatu na mara zote ulishangilia mbaya na hamna siku ulichukia vile wamekubeba kwa baadhi ya mechi.Ndo maana nasema marefa wa TANZANIA fifa wataisikia redioni.
heeeFarid Leo game imemkataa na boko aliotoa limemtoa mchezoni kabisa, forward bado shida kila mtu anataka kufunga mwenyewe, Saido akija atatusaidia sana, all in all ushindi lazima
#Daima Mbele Nyuma Mwiko
Mfano Farid game imemkataa nani anaingia mwenye uwezo sawa na Farid kwenye benchheee
hawa wa sasa wote hawafai?