Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nakazia ako kamstari ka mwisho.Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Tusubirie na tuone.