Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Nakazia ako kamstari ka mwisho.

Tusubirie na tuone.
 
Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Acheni kuongozwa kwa hisia, Wakati Leicester city anachukua ubingwa Epl timu kubwa zilikua zinasema hivyo hivyo kua aah watadondosha point, mara upepo utakata.

Kwa hiyo hizo point watakua wanadondosha Yanga tu ila simba hawadondoshi? (Naomba unijibu bila ushabiki, jibu kama mwanamichezo)
 
Simba kupoteza mechi dhidi ya Prisons na Ruvu Shooting ilikua ni uzembe na wala sio kuzidiwa uwezo. Nadhani nakubaliana na Hans Pope kukikua na tatizo. Kuanzia sasa angalia utaona mwenyewe
 
Sijaongelea mechi zilizopita,, soma vizuri utanielewa
Msingi wa hoja na swali lako ni kwamba kwani Simba haitapoteza mechi ni zake!? Nikasema mechi mbili ilizopoteza dhidi ya hizo timu nilizozitaja ilikua

Nilikuelewa na ndio nikakujibu kwamba Simba haitadondosha tena point maana ile mara ya kwanza ilikua ni uzembe na nikakwambia kwa maneno ya Hans Pope kikosi cha Lunyasi hakipaswi kupoteza mechi/point na ndio itakavyokua
 
20201119_090447.jpg
 
Ok sawa ila hapo umenijibu kishabiki ,,.hakuna timu yoyote duniani yenye guarantee ya kupata matokeo ya point 3 kwa 100%.. Naamini hata moyoni mwako huo ukweli unaujua.
 
Hakuna wa kuwahujumu semeni tu mmeshaona hamna matumaini ya hiyo mnayoita kuchukua miaka kumi mfululizo hivyo mnatafuta sababu ili kuwafariji mashabiki wenu ambao mlishawadumaza na kuwaaminisha kitu ambacho hakiwezekani.
safari ni ndefu hii, hakuna mtu anaeweza kusema au kujihakikishia kwamba yeye atakua bingwa kwasasa, bado sana
 
Kuna tetesi zinatembea sana za Yanga kutaka kumsajili Adam Adam, wa nini yule! Kama ni striker tafuten mtu wa kuwazidi waliopo na siyo Adam.
 
African sports wenyewe pamoja kupanga full squard Chama akiwa ndani bado almanusura uchezee, bado tu hujagundua ubovu uliokuwa nao? Ama kweli Kweli Nyani haoni Kundule.....
 
Kwa uzuri wa bahati(wanajisemea watu wa Kigoma) points zinahesabiwa kila baada ya mechi kuisha. Najua mmetangulia point nne, lakini kadri ligi itakavyoendelea ndio mtakua mnadondosha mbilimbili kama sio tatu tatu na kutupa nafasi ya kuwapita kama mmesimama. Na tusubiri tuone
Kipindi sisi tunadondosha nyinyi amdondoshi sio!jiulize hizo point mlizozidondosha ilikuaje hadi sasa hivi mnajinasibu amdondoshi tena!au kwenye pitch mnacheza peke yenu?
 
Back
Top Bottom