Mtani leo utuache tunajambo letu huko chamanziniTimu azam tujuane mapema
Mtani leo utuache tunajambo letu huko chamanzini
Azam ni underdog kwetu tunauwezo wakumfunga nnje ndaniAzam wako vizuri.
Drooo itawatosha
Huo ni Mtazamo wako Mtani.Huna timu ya kumfunga Azam.
Hatimaye mida inakaribia.Acha kuota wewe Shadeeya kesho ni kipigo tu.
Kila la kheri wauza ukwaju Azam fc 🙃
Fanyeni fair , tokeni suluhu [emoji4][emoji4]Kila la kheri timu ya wananchi hapo 19:00Hrs dhidi ya Azam
"DaimaMbeleNyumaMwiko"