TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Mkurugenzi wa uwekezaji kutoka GSM Eng. Hersi Said akiwa na Alvaro Paya mwakilishi wa La Liga Uwanja wa Julius K. Nyerere kuelekea Spain kwa ajili ya kukabidhiwa rasmi Rasimu ya awali ya uendeshwaji wa klabu yetu. @caamil_88 Tunakutakia Safari Njema.
#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi