Tupo Mkuu na hatuna hofu yeyote dhidi ya hawa wauza Ice cream.Wananchi mpooo???
Nimewaona wamejazana mbaya. Ila hilo halisababishi tukashindwa kufanya yetu.Mashabiki wa Simba wamekuja kwawingi Sana hapa chamanzi
Bila shaka wamekuja kumpa support ndugu yao
😀 Hebu tuache Mtani.Fanyeni fair , tokeni suluhu [emoji4][emoji4]
SAFIIIIIIIIIIIIII SANA.Half time
Azam 0 Yanga 0
Hakika, fast half tumecheza vyema tatizo lipo kwenye umaliziaji...tumekosa nafasi zawazi kalibia 3 Hapo ndo ninapomkumbuka MakamboNimewaona wamejazana mbaya. Ila hilo halisababishi tukashindwa kufanya yetu.
Hakika game ilikuwa yetu kwani tulikuwa tumewazidi karibia kila kitu aisee.Hakika, fast half tumecheza vyema tatizo lipo kwenye umaliziaji...tumekosa nafasi zawazi kalibia 3 Hapo ndo ninapomkumbuka Makambo
Hakika, fast half tumecheza vyema tatizo lipo kwenye umaliziaji...tumekosa nafasi zawazi kalibia 3 Hapo ndo ninapomkumbuka Makambo
Azam Kama wamekata Moto ivi inaweza ikawa game plan
hakika Yacouba alipaswa kufunga goli walau mojaHivi ili suala kufunga magoli Yanga yetu wanalifanyia kazi kweli. Entertaining football bila magori haisadii kwa lolote.