Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201125_195254.jpg
 
Nimewaona wamejazana mbaya. Ila hilo halisababishi tukashindwa kufanya yetu.
Hakika, fast half tumecheza vyema tatizo lipo kwenye umaliziaji...tumekosa nafasi zawazi kalibia 3 Hapo ndo ninapomkumbuka Makambo

Azam Kama wamekata Moto ivi inaweza ikawa game plan, wakirudi na mpila ule Sarpong,Farid HB wakireno wanahitaji kumaliza mchezo....naaamini kocha ameliona hili...
 
Back
Top Bottom