Alooo!!Yacouba [emoji23][emoji23][emoji23] ameshidwa kufunga goli la wazi kabisa yeye na nyavu
hakika Yacouba alipaswa kufunga goli walau moja
Huyu mchezaji si mbaya hivyo. Ninachojua kule Asante Kotoko alikuwa anacheza kama namba 10 zaidi. Na kama ukimfuatilia zaidi utaona majukumu ya namba 10 anayafanya kwa kiasi kikubwa,japo simaanishi anatakiwa awe anakosa magoli kama vile Leo ila naamini hawa wwshambuliani wetu wote wawili ni wazuri ila bado hawajapatiwa namna ya kutumika. Mwalimu aendelee kuangalia tunapofeli ili awa unlockHili galasa nani alituletea lakini.
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Kuna game kumkataa mchezaji lkn sio kwa styl ileHili galasa nani alituletea lakini.
Wadau huyu mtu simurlewi kabisaaaa, sijui wengine mnasemajeYacouba [emoji23][emoji23][emoji23] ameshidwa kufunga goli la wazi kabisa yeye na nyavu
A.k.a Wadaawa fc, watakoma na fccIngekuwa YANGA imefungwa ingeletwa faster, kwa matokeo haya watajifanya wanapotezea, Hawa ni wale majirani wa pale pilikapika nyingi.
Msimamo ndo kama huu hapa Mkuu. 😂😂Msimamo Wa VPL usiku wale Scores Bord plz
Nipo kuwasubiri wachambuzi uchwara watuambie wameona yepi. 😂😂😂
Yaani ile yake ya jana kali. Mguu unaogopa goli.[emoji23][emoji23][emoji23] aisee Kuna game kumkataa mchezaji lkn sio kwa styl ile
Mguu unapinda akiona goli [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mchezaji si mbaya hivyo. Ninachojua kule Asante Kotoko alikuwa anacheza kama namba 10 zaidi. Na kama ukimfuatilia zaidi utaona majukumu ya namba 10 anayafanya kwa kiasi kikubwa,japo simaanishi anatakiwa awe anakosa magoli kama vile Leo ila naamini hawa wwshambuliani wetu wote wawili ni wazuri ila bado hawajapatiwa namna ya kutumika. Mwalimu aendelee kuangalia tunapofeli ili awa unlock
Mungu anakuona ujue🙆♂️😂😂😂 tutaikamilisha siku ya mechi ya Plateau. 😂😂
Sisi ndio kiboko ya wasioshindika Afrika. Tupe sapoti yako japo ya duaHivyo Mtani mnaenda kuwachakaza ngapi wa naijeria?
Hamkawii kusema Simba wamepenyeza muamala. Apambane na hali yake tuYaani ile yake ya jana kali. Mguu unaogopa goli.
Nakazia hii furaha ya jana tunaikamilisha mechi na plateau.Mungu anakuona ujue🙆♂️
Toooba!! Mie dua yangu nitaielekeza kwa Plateau.Sisi ndio kiboko ya wasioshindika Afrika. Tupe sapoti yako japo ya dua
Mie naamini alikosa utulivu tu na si kingine.Hamkawii kusema Simba wamepenyeza muamala. Apambane na hali yake tu
Angesema atawatembezea lile rungu lake. 😂😂😂Ulicho andika kina ukweli asilimia kadhaa. Jana nimemuona at least aki drive mipira mingi kwenda mbele kushambulia. Ila style ile ya kukosa magoli angekua mbumbumbu fc Hans Pop sijui angesemaje.
Huko ni kukosa uzalendo kabisa Shadeeya. Tunapambana kwa ajili yenu. Mtapataje nafasi ya kucheza intaneshno mwakani?Toooba!! Mie dua yangu nitaielekeza kwa Plateau.