Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hili galasa nani alituletea lakini.
Huyu mchezaji si mbaya hivyo. Ninachojua kule Asante Kotoko alikuwa anacheza kama namba 10 zaidi. Na kama ukimfuatilia zaidi utaona majukumu ya namba 10 anayafanya kwa kiasi kikubwa,japo simaanishi anatakiwa awe anakosa magoli kama vile Leo ila naamini hawa wwshambuliani wetu wote wawili ni wazuri ila bado hawajapatiwa namna ya kutumika. Mwalimu aendelee kuangalia tunapofeli ili awa unlock
 
Msimamo Wa VPL usiku wale Scores Bord plz
Msimamo ndo kama huu hapa Mkuu. 😂😂
20201126_070022.jpg
 
Huyu mchezaji si mbaya hivyo. Ninachojua kule Asante Kotoko alikuwa anacheza kama namba 10 zaidi. Na kama ukimfuatilia zaidi utaona majukumu ya namba 10 anayafanya kwa kiasi kikubwa,japo simaanishi anatakiwa awe anakosa magoli kama vile Leo ila naamini hawa wwshambuliani wetu wote wawili ni wazuri ila bado hawajapatiwa namna ya kutumika. Mwalimu aendelee kuangalia tunapofeli ili awa unlock

Ulicho andika kina ukweli asilimia kadhaa. Jana nimemuona at least aki drive mipira mingi kwenda mbele kushambulia. Ila style ile ya kukosa magoli angekua mbumbumbu fc Hans Pop sijui angesemaje.
 
Angesema atawatembezea lile rungu lake. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom