Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Huu ni uzi wa YANGA AFRICA SPORT CLUB, Siyo wa simba wala jkt ruvu. Angalia kichwa cha Habari utaona. Jielewi usivamie tu.Kwani huu NI Uzi wako?
Huu ni uzi wa YANGA AFRICA SPORT CLUB, Siyo wa simba wala jkt ruvu. Angalia kichwa cha Habari utaona. Jielewi usivamie tu.
Atakuwa kakusikia.Ungewaambia mods watupige ban mashabiki wa Simba tusije humu.
Atakuwa kakusikia.
πππ Haya bada nitambie tu.Ana hali mbaya sana hakutegemea kama ndugu zao wa damu Plateau United Utopolo wa Nigeria ni wapuuzi vile.