Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
๐๐๐Mbumbu mmewafunga wahanga wa corona huko nigeria harafu mwatupigia kelele waongoza league ya bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐Mbumbu mmewafunga wahanga wa corona huko nigeria harafu mwatupigia kelele waongoza league ya bongo
Tunakutafutia nafasi ya kushiriki msimu ujao alafu inapiga kelele, hebu tuliaHahahaaa. Nipo rafiki Mtani.
Hongera bana naona meweka mguu moja mbele tayari japo huyo sidhani kama alipaswa kuwa bingwa halali wa Naijeria.
#Ishukuruni Corona Mtani.
naomba mtuwie radhi kwa kupata ushindi mwemba kama mpatavyo nyie watani ushindi wa kimoko kimokoHahahaaa. Nipo rafiki Mtani.
Hongera bana naona meweka mguu moja mbele tayari japo huyo sidhani kama alipaswa kuwa bingwa halali wa Naijeria.
#Ishukuruni Corona Mtani.
Bingwa Wa koronaHahahaaa. Nipo rafiki Mtani.
Hongera bana naona meweka mguu moja mbele tayari japo huyo sidhani kama alipaswa kuwa bingwa halali wa Naijeria.
#Ishukuruni Corona Mtani.
Ingekuwa hivyo usingekula mkono kule Congo last season.. Kaa kwa kutulia kiumbe wewe..Jezi za rangi ya Alizeti zimeumbiwa shida na mateso tu hapa duniani.
Watuliage tu hawa. Na hawapaswi kujipa sifa wanazojipa sasa.Bingwa Wa korona
Duuh!!naomba mtuwie radhi kwa kupata ushindi mwemba kama mpatavyo nyie watani ushindi wa kimoko kimoko
Mlibahatisha tu safari ile haiwezi jirudia hiyo kila mmoja ataenda kwenye hiyo michuano kwa nguvu zake Ntani na sio kwa kubebwa na Ntu. Teh.Tunakutafutia nafasi ya kushiriki msimu ujao alafu inapiga kelele, hebu tulia
Ewaaaa...hivi yule saidoo ataanza lini kukipiga palee
Sijajua bado japo naona jana ametua rasmi kwa Wananchi.Ewaaaa...hivi yule saidoo ataanza lini kukipiga palee
sherehe hujaalikwa, kwanini ujipendekeze kuja?Duuh!!
Jumamosi inakaribia rafiki. Nasikia mnasema tusiende Uwanjani eti? ๐๐๐
Saa viingilio vya kwetu mnatuzuwiaje eti? ๐๐๐ Hebu tuwacheni tukawashingile Plateau.
Hivi Uwanjani pia kuna kualikwa eti? ๐คsherehe hujaalikwa, kwanini ujipendekeze kuja?
mtani hakikisha king'amuzi chako cha azam umekilipia ili jmos ufuatilie kandanda mbashara kabisa..Hivi Uwanjani pia kuna kualikwa eti? ๐ค
Ila wale jamaa si watu wazuri bana yaani walifanya tukarudi enzi za zamani kuanza kusikiliza mpira redioni. Lol.mtani hakikisha king'amuzi chako cha azam umekilipia ili jmos ufuatilie kandanda mbashara kabisa..
kwanza ukija uwanjani hamna replay kuliko kutazama kwenye runinga