Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mazoezi yameeendelea jana jioni kuelekea mchezo wetu wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa siku ya Jumapili ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa, kuanzia Saa 1:00 usiku.

Kazi Kazi[emoji1491]

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 1641387
Sijui kwa nini nikionaga Haruna yupo kikosini huwa ninapata matumaini sana
 
Yatawakuta kama ya Deo Kanda kwa Simba. Limebaki jina tu lakini Said sio kama yule aliyekua akivuma enzi zake. Kwanza angekua ni yuke msingempata. Sasa hivi anatafuta mahali pa kustaafia. Uzuri wa bahati amepata timu ya Wananchi
Kwani Deo kanda ninyi mlipata akiwa mbovu. Mbona jamaa alikuwa hatari ila labda majeruhi ndiyo yalimuharibia?
 
Naamini atatupa experience kubwa sana!
IMG-20201204-WA0006.jpg
 
Nimesikia Yanga wameanzisha mikakati kabambe ya kuchukuwa taji la ligi kuu mwaka huu hasa baada ya kujikusanyia idadi ya points zilizojenga ufa mkubwa waliokuwa kileleni Azam, Hata hivyo kimesabu Yanga wanawazidi Simba point 2 tu kama Simba watashinda michezo yote ya kiporo!
Pia Yanga kama mwenendo wake wa uchezaji utaendelea hivihivi hjilo kombe kwa mwaka huu walisahau!
Ukifuatilia karibu mechi 3 zote walizocheza Yanga hapa karibuni ambazo ni kati yake na SIMBA, AZAM na JKT Tanzania, Utaona Yanga ni timu ya kipindi kimoja tu cha kwanza lakini wakirudi kipindi cha pili wanapwaya na kadri kocha Kaze anavyofanya Sub ndivyo timu inavyopwaya zaidi, ni kutokana na dosari hii ndio iliwagharimu Yanga kati mechi ya Simba na kufanya Simba wawahenyeshe vibaya kipindi cha pili hata kupelekea manusura ya kichapo!
Hali hiyo ilijirudia katika mechi ya Azam sema tu kitendo cha kutowepo mshambuliaji wa Azam Price Dube ndiko kuliwaokoa Yanga mechi ile sababu foward ya Azam ilikosa mmaliziaji makini.
Hali hii ya Yanga kuzidiwa kipindi cha pili ilijitokeza tena katika mechi yake JKT Tanzani ambapo pamoja na ushindi ule kiduchu lakini timu ilihenyeshwa sana kipindi cha pili sema tu JKT hawakuwa makini na nafasi nyingi za kufunga walizotengeneza.
Hivyo kama kocha hatafanyia kazi mapungufu hayo Yanga wajue wana sindikiza tu!
Vp timu leo kwenye mchezo na Ruvu shooting imeionaje katika vipindi vyote viwili Cha kwanza na Cha pili?
 
Back
Top Bottom