Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Vp timu leo kwenye mchezo na Ruvu shooting imeionaje katika vipindi vyote viwili Cha kwanza na Cha pili?
Yes nafkiri kocha amelifanyia kazi tatizo ! Ni kweli katika mechi kati nya Yanga na Ruvu, timu ilikuwa bora vipindi vyote viwili!
 
Cha ajabu Kocha hamtumii siku hizi.
Kwenye hiki kikosi cha Yanga sasa naona ushindani ni Mkubwa sana hivyo mtu akitoka kidogo kwenye mstari inabidi atumie nguvu sana kurudi. Na kwa bahati mbaya huyu Saido naye ndio anaingia na si mbovu,hivyo hali itazidi kuwa taiti zaidi
 
Vp timu leo kwenye mchezo na Ruvu shooting imeionaje katika vipindi vyote viwili Cha kwanza na Cha pili?
Timu inazidi kuimarika sana, sharpness imeongezeka,wachezaji wana spirit ya juu sana na nimefurahi tumecheza kwa intensity ya juu kwa vipindi vyote viwili. Nimefurahi pia kuona timu ilivyoreact baada ya kukosa penati. Mambo mazuri yanakuja zaidiiii!!

Kaze Bonge la kocha, akikaa kwa msimu mzima na hii timu,msimu ujao East Afrika hakutakuwa na timu inataka kucheza Na Yanga kwenye mashindano[emoji16]
 
Kwenye hiki kikosi cha Yanga sasa naona ushindani ni Mkubwa sana hivyo mtu akitoka kidogo kwenye mstari inabidi atumie nguvu sana kurudi. Na kwa bahati mbaya huyu Saido naye ndio anaingia na si mbovu,hivyo hali itazidi kuwa taiti zaidi
Uko sahihi kabisa, hilo ni zuri kwa afya ya timu na raha kwetu wananchi.
 
Our princess is on fire
yangasc_princess-20201208-0001.jpg
 
Team kali, Pisi Kali
 
Kumbe bosi wenu DALALI [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Bora mtafute mfadhili wa maana hao GSM Tia maji Tia maji.
Screenshot_20201210-061018_1607570141524.jpg
 
Simba itakuwa ndio timu inayoongoza kuamini Ushirikina East Africa. Nini hii sasa![emoji1]
 
Back
Top Bottom