Yes nafkiri kocha amelifanyia kazi tatizo ! Ni kweli katika mechi kati nya Yanga na Ruvu, timu ilikuwa bora vipindi vyote viwili!Vp timu leo kwenye mchezo na Ruvu shooting imeionaje katika vipindi vyote viwili Cha kwanza na Cha pili?
Usisahau yale madela ya MombasaJezi za rangi ya Alizeti zimeumbiwa shida na mateso tu hapa duniani.
Mnyama sanaNiliwaambia kuhusu uwezo wa huyu Jamaa kua mi hatari
Kiukweli hili jambo halisemwi sana ila ni hatua kubwa sana!!Mwenyekiti wa klabu yetu Dkt. Mshindo Msolla na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji leo wameshiriki katika semina ya kuwajengea ufahamu juu ya ripoti ya mabadiliko katika hatua hii ya awali.
#daimambelenyumamwiko
#timuyawananchi
View attachment 1642304
Sanaaa!!Kumbe siku si nyingi tutaanza kukiona alichonacho naye.
Kwenye hiki kikosi cha Yanga sasa naona ushindani ni Mkubwa sana hivyo mtu akitoka kidogo kwenye mstari inabidi atumie nguvu sana kurudi. Na kwa bahati mbaya huyu Saido naye ndio anaingia na si mbovu,hivyo hali itazidi kuwa taiti zaidiCha ajabu Kocha hamtumii siku hizi.
Timu inazidi kuimarika sana, sharpness imeongezeka,wachezaji wana spirit ya juu sana na nimefurahi tumecheza kwa intensity ya juu kwa vipindi vyote viwili. Nimefurahi pia kuona timu ilivyoreact baada ya kukosa penati. Mambo mazuri yanakuja zaidiiii!!Vp timu leo kwenye mchezo na Ruvu shooting imeionaje katika vipindi vyote viwili Cha kwanza na Cha pili?
Alinikera sana! Ha ha haKaseke angemwachia sarpong(lewandowski) ile penenga[emoji460]........timu ishaanza kuchangamka[emoji95]
Nyonyoma sokapo hapaAlinikera sana! Ha ha ha
Uko sahihi kabisa, hilo ni zuri kwa afya ya timu na raha kwetu wananchi.Kwenye hiki kikosi cha Yanga sasa naona ushindani ni Mkubwa sana hivyo mtu akitoka kidogo kwenye mstari inabidi atumie nguvu sana kurudi. Na kwa bahati mbaya huyu Saido naye ndio anaingia na si mbovu,hivyo hali itazidi kuwa taiti zaidi
Km ulivyo ww mshirikina mwenzake. Always wenyewe mnajuanaSimba itakuwa ndio timu inayoongoza kuamini Ushirikina East Africa. Nini hii sasa![emoji1]View attachment 1645898
Uandishi wake unathibitisha umbumbumbu wake. Ajabu zaidi unawezakuta ndio m/kiti wenuKumbe bosi wenu DALALI [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Bora mtafute mfadhili wa maana hao GSM Tia maji Tia maji.View attachment 1645890