Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hongereni kwa kubebwa asee!!

Simba kwa kubebwa dah!! Acheni hizo pambaneni kimen bwn
Jina la Avatar yko ni DELA. Pia timu yenu imewashonea VIJORA kwa umbea na ushambenga mlionao. Et kubebwa mechi ya simba vs Yanga c mlipewa penati? Mechi ya Yanga vs KMC c mlipewa penati? Mechi ya Gwambina fc vs Yanga c lilikataliwa goli safi la Gwambina. Fatilien singeli na vjora vyenu football hamuiwez ndio mana yule kocha wenu aliwaita uneducated na NYANI
 
Yule mambo yapo wala habahatishi. Kucheza ligi kuu ya ufaransa si jambo Dogo asee. Atatupa experience ya hali ya juu sana!!
Tunamsubiria kwa hamu leo jioni tumuone japo hatujajua kama atakuwa chaguo la kwanza kwa Kaze.
 
USAJILI YANGA CEDRIC KAZE AFUNGUKA

Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze tayari amewasilisha mapendekezo yake ya usajili kipindi hiki cha dirisha dogo akihitaji wachezaji watatu

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amesema wanafanyia kazi mapendekezo hayo na watahakikisha wanawapata wachezaji waliopendekezwa na kocha huyo raia wa Burundi

Akiwa tayari amemsajili Saido Ntibazonkiza, Kaze amedokeza pia kuhitaji kiungo mshambuliaji na mlinzi

Hata hivyo amesisitiza usajili huo utafanyika kwa kuangalia mahitaji ya timu na sio kwa kufuata presha ya mashabiki kwani wakifanya hivyo wanaweza kuathiri kile ambacho kimeanza kujengeka katika kikosi chao sasa

"Hutakiwi kusajili kutokana na presha za mashabiki au viongozi, tunahitaji wachezaji ambao watasaidia timu kufikia malengo yetu, kama nilivyoeleza awali kwamba tunahitaji kupata watu ambao watakuwa msaada kwetu," alisema Kaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…