Sana tu, piga kabisa hao Ihefu.Tena hawa Ihefu ndio wanajifanya wamefufuka kutoka katika wafu, ,wameshinda game mbili mfululizo vs Kagera na juzi vs KMC.... Hawa inabidi kuwawekea mziki wa maana, yaani Saido toka dakika ya kwanza awepo ndani. Wateseke hawa Ihefu mpaka mpunga waite mbunga
Naona mmeanza kutoa na vijora
Anatisha.Tazama Antibiotic akimpiga tobo Di MariaView attachment 1656779View attachment 1656780
Updatesno update
Dakika ya 42, Ihefu 0, wananchi 1Updates
Hivi sasa mioyo yetu inapiga vizuri, pressure imeshuka, Mambo yanakwenda Sawa Sawa. ASANTENI WACHEZAJI WETU, NYUSO ZETU ZIMEKUWA NA FURAHA. Majirani zetu huko Zimbabwe mmm.Yangaaaaaa......
Aisee hamna kipindi tunaishi kwa raha kama sasa aisee.Nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaaaaaaaa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1657727
Sent using Jamii Forums mobile app