Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tena hawa Ihefu ndio wanajifanya wamefufuka kutoka katika wafu, ,wameshinda game mbili mfululizo vs Kagera na juzi vs KMC.... Hawa inabidi kuwawekea mziki wa maana, yaani Saido toka dakika ya kwanza awepo ndani. Wateseke hawa Ihefu mpaka mpunga waite mbunga
 
Sana tu, piga kabisa hao Ihefu.
 
Screenshot_20201222-124220.jpg
 
Nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaa, nileteeni Gwajimaaaaaaaaa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1657727

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hamna kipindi tunaishi kwa raha kama sasa aisee.

Wakati upande wa pili wanawaza kulipiza kisasi Teh sisi tumetulia zetu tukisubiria Second Round kileleni. 😂😂😂

#Wananchi tuna jambo letu msimu huu.
 
Back
Top Bottom