Shemela ikikupendeza nijalie kikosi kilichoenda Unguja.Tunaelekea Mapinduzi Cup huko nako Timu ya Wananchi tuna jambo letu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
View attachment 1667631
Wewe umejuaje Mambo ya ushirikina? Bilashaka wewe ndiyo mchawiLeo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa na butwaa kuona hivyo!Wakati huo Matokeo yakiwa Prison 1-0 Yanga na Yanga walikuwa wakishambulia sana!
Hii tabia si nzuri hasa kwa timu inayoshiriki ligi kuu na Club kubwa kama Yanga!Mnatia aibu kwakweli na hii sio mara ya kwanza ninyi kufanya hivyo!
Prison mnalingana nguvu maana kwenye mechi ya kwanza mlitoka sare tena kwenu!Sasa mnachoshangaa ni nini wao kuongoza kwa goli moja na ninyi mkiwa mnakosakosa?
Aibu kwenye michezo,mechi zinaonekana mpaka nje ya nchi halafu mnafanya ujinga!Shwain kabisa!
Siku nyingine mkagoma kuingilia lango la kuingia uwanjani,ninyi watu gani?Mbona mnaupa sana promo ushirikina?
Nawatakia kheri ya mwaka mpya!
Acha kujitoa akili. Wachezaji woote wamecheza kwenye vwanja hvyo. Issue ya uwanna weka pembeni. Mbona mkishinda huwa huo uharo wa vwanja hamsemiWale ndo kiwanja chao cha majaruba ya mpunga wazoefu.
Kuna sehemu nimeona wamekiweka. Ngoja nikakicheck shem.Shemela ikikupendeza nijalie kikosi kilichoenda Unguja.
Mara ya mwisho Yanga kuwa mabigwa wa kombe la mapinduz ni lini? Looo! Ata kakombe haka ka mbuz ni tabu kwenuTunaelekea Mapinduzi Cup huko nako Timu ya Wananchi tuna jambo letu.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
View attachment 1667631
Kwa asilimia miaTusifadhaike,hii sare ya Leo imeonyesha ni namna gani Yanga hii iko imara. Timu imeimarika sanaaa!! Ina ari ya juu sanaaaa. Simba bila kubebwa kama walivyosaidiwa dhidi ya KMC hata sasa wasingekuwa na uwezo Wa kufunua midomo yao.
Naamini kwa ubora Wa hii timu tunakwenda kutwaa ubingwa msimu huu!
Kufungwa tano tano kila mechi Kama weweNinyi bora muendelee kubaki hapa hapa nchini maana mkienda kimataifa mtaenda kuitia aibu nchi!
Mkuu pole sana wala usiumize kichwa.Huyo kiumbe ni Digi digiNishajua naargue na kiumbe wa aina gani
Good time and happy new year bro.
Kakudanganya nani wewe utapigika Kama ulivyopigika kwa wengine msimu huuhizo point Ni suala la muda tu
Msimu huu Yanga hapotezi mechi hata moja,kwa raundi ya pili Simba lazima apigike.Stay tuned Ubingwa unakwenda jangwani msimu huuKwani yanga dhidi ya kmc haikubebwa? Penati fake mlipewa. Dhidi ya gwambina mlipigwa goli halali likakataliwa, dhidi ya simba faulo nje 18 mkapewa penati. Ni kujidanganya kuwa mechi zote yanga imeshinda au kudraw kwa haki.
Ubingwa labda muibe kombe.
Unamaanisha hizi?Kufungwa tano tano kila mechi Kama wewe
Ukiona Yanga katoa sare ujue Simba kafungwaUkiona yanga anaongoza ligi jua Simba hajacheza
Unazkumbuka zle 4-1 lknMsimu huu Yanga hapotezi mechi hata moja,kwa raundi ya pili Simba lazima apigike.Stay tuned Ubingwa unakwenda jangwani msimu huu
Safi sn. Km kuna mwenye ubavu weken na nyie utopolo DADADEQ zenu.Unamaanisha hizi?
View attachment 1667664
Yanga vs Gwambina ...... 0 - 0Ukiona Yanga katoa sare ujue Simba kafungwa