Na kwako pia Mtani. Adimu sana weye.
Hahahahaaa. Ahsante nipo nasubiria timu yangu niishangilie.
Hahahaaa!! Mie pia nitakuwepo Mtani.Leo nipo mpaka mpira uishe, jana sisi Jamhuri tunaocheza ligi daraja la kwanza Zanzibar tulipata sare dhidi ya Yanga inayocheza ligi kuu Bara.
Kuna mama mmoja kabla ya msimu kuanza kama sikosei aliwahi kusema kuna mchawi kapenyezwa ndani ya Yanga aende akawaharibu vijana wa watu, tena aliongea hadi analia naanza kumuamini[emoji1]Magumu gani bana, unapata.mshahara mkubwa posho, tumesajili kwa mbwembwe kile ndio kiwango anapaswa kuonyesha mweli,
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahahaaa!! Mie pia nitakuwepo Mtani.
Niliona mlivyojikaza mana si kwa kubana kule japo sisi nasi washambuliaji hatuna zaidi ya wababaishaji. Mfano Waziri Jr nafasi za wazi alizichezea na kusahau kwamba siku zote bahati haijagi mara mbili.
Tusubiri 90 mins Mtani.Mtanange unaendelea Mtani Mtani.
Naamini unainjoy hapa.
Tusubiri 90 mins Mtani.
Tusubiri 90 mins Mtani.
Tusubiri 90 mins Mtani.
Mtani dakika 90 za Nini?
Hahahaa! Watani mmefanya nimecheka. Lol.Hivi Mtani toka mwaka uanze ulishapata burudani kama hii?
Hahahaa! Watani mmefanya nimecheka. Lol.
Kama nawaona mlivyojawa na presha mkiombea mpira uishe.
Hahahaa! Watani mmefanya nimecheka. Lol.
Kama nawaona mlivyojawa na presha mkiombea mpira uishe.
Haijalishi Mtani. πππTunaingia makundi, utabadili sana timu msimu huu.
Nipo Mtani ila ndo uache kuadimika.Mtani mpira umeisha, asante kwa kuwa pamoja na sisi, nilikumiss sana.
MTANI TUNYANYASEEEEEEEE. πππTANZANIA TIMU NI MOJA TU.
THIS IS SIMBA.........OVERRRRR.
Ila nimewakubali Mtani. πππTHIS IS SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....