Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Na kwako pia Mtani. Adimu sana weye.

Hahahahaaa. Ahsante nipo nasubiria timu yangu niishangilie.

Leo nipo mpaka mpira uishe, jana sisi Jamhuri tunaocheza ligi daraja la kwanza Zanzibar tulipata sare dhidi ya Yanga inayocheza ligi kuu Bara.
 
Leo nipo mpaka mpira uishe, jana sisi Jamhuri tunaocheza ligi daraja la kwanza Zanzibar tulipata sare dhidi ya Yanga inayocheza ligi kuu Bara.
Hahahaaa!! Mie pia nitakuwepo Mtani.

Niliona mlivyojikaza mana si kwa kubana kule japo sisi nasi washambuliaji hatuna zaidi ya wababaishaji. Mfano Waziri Jr nafasi za wazi alizichezea na kusahau kwamba siku zote bahati haijagi mara mbili.
 
Magumu gani bana, unapata.mshahara mkubwa posho, tumesajili kwa mbwembwe kile ndio kiwango anapaswa kuonyesha mweli,

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kuna mama mmoja kabla ya msimu kuanza kama sikosei aliwahi kusema kuna mchawi kapenyezwa ndani ya Yanga aende akawaharibu vijana wa watu, tena aliongea hadi analia naanza kumuamini[emoji1]
 
Hahahaaa!! Mie pia nitakuwepo Mtani.

Niliona mlivyojikaza mana si kwa kubana kule japo sisi nasi washambuliaji hatuna zaidi ya wababaishaji. Mfano Waziri Jr nafasi za wazi alizichezea na kusahau kwamba siku zote bahati haijagi mara mbili.

Mtanange unaendelea Mtani Mtani.

Naamini unainjoy hapa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Sisi mashabiki wa platinum tutarudi Zimbabwe au tutabaki .?
 
Back
Top Bottom