Labda iwe mwisho wa dunia. Simba atachukua vikombe vyooote. This season tunabeba na mapinduz dadadeq zenuHiyo nafasi mmejitafutia wenyewe Manyau fc, maana sisi Young African Sc ndiyo mabingwa vpl 2020-2021, Kama unabisha we mchawi.
MazembeMlianza plateau mkahamia platinum
Sasa mnaenda timu gani?
Tulia wewe Shadeeya Sema This is Simbaaaa 😁😁Chauoga huyo. 😂😂
😂😂 Baada ya kushinda eti ndo kinaibuka. 😂😂 lol.
Hiyo nafasi mmejitafutia wenyewe Manyau fc, maana sisi Young African Sc ndiyo mabingwa vpl 2020-2021, Kama unabisha we mchawi.
Kwahiyo mnaamini mnakua mabingwa?Tunawapa nafasi kubwa kuwa Wa pili kutokana na kusuasua kwa Azam. Hivyo mmejitahidi kujitaftia nafasi yenu
Pigia mstari mkuu, Hilo siyo swali Bali no jibu.
Daaa sahzi oaka wamekuwa jeuri sana majumbani,hata kuwinda hawataki eti wanadai sahzi wameajiliwa na Simba[emoji1]
Kwa nini unateseka? Relax brother, group stages umeingia, jipange utoe dose na siyo upewe dose mkuu.MAGROUP AMBAYO YANGA ANAWEZA KUYAMUDU NI MAGROUP YA WHATSAPP TU .
DAIMA NYUMA MBELE MWIKO.
Hiyo avatar yako na unachokishabikia ni tofauti kama mbingu na ardhi,,Daaa sahzi oaka wamekuwa jeuri sana majumbani,hata kuwinda hawataki eti wanadai sahzi wameajiliwa na Simba[emoji1]View attachment 1671811
Kumbe mnatambua wanaume wako GROUP STAGE..Kwa nini unateseka? Relax brother, group stages umeingia, jipange utoe dose na siyo upewe dose mkuu.
Ashajua yatayomkuta ndio mana anasema kwa Mara ya mwisho mwishoKwa nini unateseka? Relax brother, group stages umeingia, jipange utoe dose na siyo upewe dose mkuu.
Wewe Piga kelele lakini mwisho wako umefika kule unaliwa Tende huku unaliwa vumbi la Kongo.Kazi unayoMAGROUP AMBAYO YANGA ANAWEZA KUYAMUDU NI MAGROUP YA WHATSAPP TU .
DAIMA NYUMA MBELE MWIKO.
This is Simba hiyo veeeeeepeeee. 😀Tulia wewe Shadeeya Sema This is Simbaaaa 😁😁
Tulia sindano ikuingie vizuri, Ukichezacheza itakatikia ndani.Hawa Uterembwe wamejazana huku kama kupe na paka zao wanatafuta nini??
Labda katuma JIVI na siyo CV!Nasikia KAZE na yeye katuma CV zake kuomba kuifundisha Simba sc Tanzania.
Manyaunyau fc a. k. a mikia fcNasikia KAZE na yeye katuma CV zake kuomba kuifundisha Simba sc Tanzania.