Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hawa Uterembwe wamejazana huku kama kupe na paka zao wanatafuta nini??
Mashabiki wa Simba Wana mdomo sana na ni Viherehere Kama Wanawake wa kizaramo .Ngoja mechi za makundi zianze wapigwe hutawaona tena watakimbia mbio Kama Mbwa mwizi.Kule Uarabuni wanawalia Tende na Kuwanywea Maziwa ya Ngamia huku Kongo wanalambiwa Vumbi la Kongo yani kipigo magoli 5+
 
Kikosi cha Timu ya Wananchi jana kiliendelea na mazoezi kujiandaa na mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…