zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Mashabiki wa Simba Wana mdomo sana na ni Viherehere Kama Wanawake wa kizaramo .Ngoja mechi za makundi zianze wapigwe hutawaona tena watakimbia mbio Kama Mbwa mwizi.Kule Uarabuni wanawalia Tende na Kuwanywea Maziwa ya Ngamia huku Kongo wanalambiwa Vumbi la Kongo yani kipigo magoli 5+Hawa Uterembwe wamejazana huku kama kupe na paka zao wanatafuta nini??