Nimetumiwa msg hii na imenifanya nitabasamu, labla wanayanga wenzangu ambao hawajaiona itawapa japo katabasamu
" *ITIKIA AMINA*
Mungu akupe akili
kama KAVUMBAGU, upole kama NIZAR, umakini kama TWITE, nidhamu kama HAMIS KIIZA, uwezo kama NIYONZIMA, bahati kama
CHUJI, uvumilivu kama MINZIRO, na
kipaji kama DOMAYO. Akuepushe na migogoro
kama SIMBA, utukutu kama NYOSO tamaa kama KABURU,
sifa kama RAGE usiwe
mchawi kama KASEJA, mapepe kama SUNZU uchizi kama BOBAN CHEZEA YANGA WEWE!!!. Daima mbele, nyuma mwiko."