Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Great Thinkers yeyote aliyepo uwanja wa taifa atupatie updates za mechi ya Yanga na Mtibwa!...Yanga daima mbele nyuma mwiko.....
 
Si ndo Kisiga kaanza kuandika ubao dk ya 45


Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
mimi nilijua ukienda uturuki huwezi kufungwa. Kule uturuki vipi walicheza na garatasaray?
 
na pia yanga ndiyo klabu ya mwanzo hapa nchini au hata afrika mashariki kwa ujumla kwa kuwa na makao makuu sambamba na uwanja wa mazoezi ambao unajulikana kwa jina la Kaunda, jina la muasisi na mpigania uhuru mwengine wa taifa la zambia muheshimiwa keneth kaunda.
mfumo huu wa kuwa na makao makuu pamoja na uwanja wa mazoezi ni wa timu kubwa barani ulaya na dunia kwa ujumla.

Mkuu Chombadinho,

Hivi ni lipi haswa lililofanya dimba letu la Kaunda likapewa jina la Keneth wa Zambia?:A S 100:
 
Nimetumiwa msg hii na imenifanya nitabasamu, labla wanayanga wenzangu ambao hawajaiona itawapa japo katabasamu


" *ITIKIA AMINA*
Mungu akupe akili
kama KAVUMBAGU, upole kama NIZAR, umakini kama TWITE, nidhamu kama HAMIS KIIZA, uwezo kama NIYONZIMA, bahati kama
CHUJI, uvumilivu kama MINZIRO, na
kipaji kama DOMAYO. Akuepushe na migogoro
kama SIMBA, utukutu kama NYOSO tamaa kama KABURU,
sifa kama RAGE usiwe
mchawi kama KASEJA, mapepe kama SUNZU uchizi kama BOBAN CHEZEA YANGA WEWE!!!. Daima mbele, nyuma mwiko."
 
Kumbe ndio maana wana mdomo... Timu ya Wauza Nazi na Wauza samaki... Nkt!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom