Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Tegete Mturkey!
Huyu mtoto ni balaa kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tegete Mturkey!
Hongereni wazee wa uturuki..
Hata hivyo hawajafungwa.....ft 1-1.mimi nilijua ukienda uturuki huwezi kufungwa. Kule uturuki vipi walicheza na garatasaray?
ok,mi nilidhani leo na kila ninakojaribu kuangalia hamna kitu!!!!ahsante kiongozi!!!Mechi hii itachezwa J5. Matokeo leo yalikuwa Mtibwa (1) vs. Azam (4)
na pia yanga ndiyo klabu ya mwanzo hapa nchini au hata afrika mashariki kwa ujumla kwa kuwa na makao makuu sambamba na uwanja wa mazoezi ambao unajulikana kwa jina la Kaunda, jina la muasisi na mpigania uhuru mwengine wa taifa la zambia muheshimiwa keneth kaunda.
mfumo huu wa kuwa na makao makuu pamoja na uwanja wa mazoezi ni wa timu kubwa barani ulaya na dunia kwa ujumla.
Mkuu Chombadinho,
Hivi ni lipi haswa lililofanya dimba letu la Kaunda likapewa jina la Keneth wa Zambia?:A S 100:
Kumbe ndio maana wana mdomo... Timu ya Wauza Nazi na Wauza samaki... Nkt!!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
hainihusu kumbe..
Nauliza hivi Lunyamila yuko wapi?