Si ni mchezaji wa Simba lakini au?Leo ndiyo unalijua Hilo, timu lenu bila Chama hakuna kitu.
SAA 6πππKwahiyo sisi YANGA tuna ruhusiwa kuamka muda sawa na mbumbumbu fc?
Wanasemaga uchawi huwa hauvuki maji na ndo kitu kimewakuta hawa jamaa. π€£π€£
Daima Mbele Nyuma Mwiko Shem.Yangaaa....
Ndo wakome. πππ
πππ unasemaje eti Mtani?Baada ya kujua kwamba mmeingia fainali na Mnyama umeamua kujificha.
Utarudi tu, na tutakuwa hapa hapa tunakisibiri.
πππ unasemaje eti Mtani?
Nimerudi Mtani.Nilitamani usirudi Mtani.
Hongera kwa ushindi.
Hatutaki. ππππππππππππππππππππππππMwenye majina ya wachezaji waliopata zawadi na timu zao wanazochezea, naomba aniwekee hapa
Farouk Shikalo Golikipa Bora anachezea Timu ya Wananchi.Mwenye majina ya wachezaji waliopata zawadi na timu zao wanazochezea, naomba aniwekee hapa
Onyangooo ! Ndo mmejua kama ni babu ama kijanaHatutaki. ππππππππππππππππππππππππ