Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ni mchezaji wa Simba lakini au?Leo ndiyo unalijua Hilo, timu lenu bila Chama hakuna kitu.
SAA 6😁😁😁Kwahiyo sisi YANGA tuna ruhusiwa kuamka muda sawa na mbumbumbu fc?
Wanasemaga uchawi huwa hauvuki maji na ndo kitu kimewakuta hawa jamaa. 🤣🤣
Daima Mbele Nyuma Mwiko Shem.Yangaaa....
Ndo wakome. 💃💃💃
😀😀😀 unasemaje eti Mtani?Baada ya kujua kwamba mmeingia fainali na Mnyama umeamua kujificha.
Utarudi tu, na tutakuwa hapa hapa tunakisibiri.
😀😀😀 unasemaje eti Mtani?
Nimerudi Mtani.Nilitamani usirudi Mtani.
Hongera kwa ushindi.
Hatutaki. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwenye majina ya wachezaji waliopata zawadi na timu zao wanazochezea, naomba aniwekee hapa
Farouk Shikalo Golikipa Bora anachezea Timu ya Wananchi.Mwenye majina ya wachezaji waliopata zawadi na timu zao wanazochezea, naomba aniwekee hapa
Onyangooo ! Ndo mmejua kama ni babu ama kijanaHatutaki. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂